ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Tuesday, February 7, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumanne Februari 7,2023

    TIGO KWENDA KUMKABIDHI GARI MSHINDI WA NDINGA LA KISHUA

    MASHAMBA YA BANGI ZAIDI YA HEKTA 6 YATEKETEZWA KWA MOTO, GEITA

    MBUNGE ATAKA KAMPUNI ZA MAWASILIANO ZIFIDIE WATEJA

    Idadi ya Waliofariki katika Tetemeko kubwa la Ardhi Uturuki yafikia Zaidi ya Watu 300

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

BENKI YA CRDB YAANDA SEMINA YA UWEZESHAJI KWA WAFANYABIASHARA MTANDAONI

admin by admin
July 8, 2022
in NEWS
Reading Time: 3 mins read
A A
0
BENKI YA CRDB YAANDA SEMINA YA UWEZESHAJI KWA WAFANYABIASHARA MTANDAONI
0
SHARES
3
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Benki ya CRDB, Joseline Kamhanda akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu Semina kwa wajasiliamali wanaofanya Biashara ya Mtandao “CRDB Bank Instaprenyua” inayotarajia kufanika Tarehe 16/07/2022 katika Makao ya Benki hiyo. Wengine pichani, ni Kaimu Mkurugenzi wa Wateja Wadogo na Wakati, Bonaventura Paul (wapili kulia), Afisa Mauzo wa Silent Ocean, Dotto Mayanga, wapili Kushoto, Meneja Mahusiano Infucus Studio Ltd, Clair Mtui na Operesheni Meneja Simba courier, James Mwambona. Mkutano huo na waandishi wa habari ulifanyika katika Tawi la Benki ya CRDB lililopo katika Viwaja vya SabaSaba Jijini dar es salaam.
=========   ========  ========

Katika kuendeleza jitihada zake za kuwajengea uwezo na kuwawezesha wajasiriamali vijana nchini, Benki ya CRDB leo imetangaza kuandaa semina maalum iliyopewa jina la “CRDB Bank Instaprenyua”, itakayofanyika 16 Julai 2022 Makao Makuu ya Benki hiyo, kwa ajili ya kuwawezesha vijana ambao wanafanyabishara kupitia mitandao ya kijamii.
Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Kitengo cha Masoko cha Benki ya CRDB, Joseline Kamuhanda wakati wa Mkutano na Waandishi wa Habari, uliofanyika katika banda la benki hiyo lililopo katika viwanja vya sabasaba, Jijini Dar es Salaam.
Akizungumza katika mkutano huo, Joseline alisema katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mwamko mkubwa kwa vijana kujishughulisha na shughuli za ujasiriamali hususani kupitia mitandao ya kijamii ambayo imerahisha namna ya kuendesha biashara, na kuyafikia masoko kwa urahisi.
“Vijana wamekuwa wakitumia vizuri fursa zilizopo hususani fursa za mitandao ya kijamii kufanikisha shughuli zao za ujasiriamali. Katika maonesho haya tumewaona pia vijana wajasiriamali ambao wanafanya vizuri kupitia maduka mtandao, jambo ambalo limetusukuma kuwapa elimu na kuwajengea uwezo,” alisema Joseline.
Joseline alisema biashara mtandao ni moja ya eneo linalokua kwa kasi, na linalopaswa kuangaliwa, ikiwa ni pamoja na kutafuta suluhu ya kuwawezesha wajasiriamali hao. Mitandao ya kijamii hususan Instagram imekuwa chachu kubwa kwa vijana wajasiriamali hapa nchini kuishi ndoto zao za ujasiriamali.
Takwimu zinaonyesha Instagram ndio mtandao wa kijamii wenye watumiaaji wengi zaidi duniani, bilioni 1.074, vivyo hivyo hapa Tanzania, mtandao huo unaongoza pia ndio unaongoza kwa wafuasi zaidi ya milioni 2.86. “Hii ndio sababu ya kuipa jina la Instaprenyua semina hii kwani ndipo hasa vijana wengi wapo, lakini lengo ni kuwafikia vijana katika majukwaa yote ya mtandaoni,” aliongezea.
Akizungumzia kuhusu malengo ya kuandaa semina hiyo, Mkuu huyo wa Kitengo cha Masoko alisema Semina hiyo ina malengo makuu matano ikiwamo; kutoa mafunzo ya namna bora ya kuendesha biashara kwa wajasiliamali wanaofanya biashara mtandao, na kutoa elimu ya usimamizi wa fedha katika biashara.
Malengo mengine ni pamoja na elimu ya masoko ya fedha na mitaji, na namna bora za kuyaendea masoko hayo, elimu juu ya fursa zinazotolewa na Benki ya CRDB kwa wajasiriamali nchini, pamoja na elimu ya urasimishaji wa biashara, na faida zake kwa wajasiriamali.
Benki ya CRDB pia iliutumia mkutano huo na waandishi wa habari kuwashukuru washiriki wote wa maonesho, wafanyabiashara, taasisi, makampuni na wateja binafsi, ya sabasaba kwa kuendelea kuichagua benki hiyo kuwa mtoa huduma.
Akitoa salamu hizo za shukrani, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Wateja Wadogo na Wakati Benki ya CRDB, Bonaventure Paul alisema msimu wa sabasaba wa mwaka huu umekuwa na mafanikio zaidi ambapo benki hiyo imeweza kuboresha huduma zake kwa wateja na kuweza kuwahudumia wateja wengi zaidi kupitia tawi maalum la benki lililopo katika viwanja vya sabasaba pamoja na CRDB Wakala.
ADVERTISEMENT
Previous Post

Benki ya NMB yazindua tawi la 227, yasaidia serikali kukusanya 8.6trn/-

Next Post

Tiba ya kuondokana na madeni katika maisha

admin

admin

RelatedPosts

TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

by ALFRED MTEWELE
February 7, 2023
0

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe, Dkt. Selemani Jafo amesema biashara ya kaboni itasaidia...

Read more
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumanne Februari 7,2023

February 7, 2023
TIGO KWENDA KUMKABIDHI GARI MSHINDI WA NDINGA LA KISHUA

TIGO KWENDA KUMKABIDHI GARI MSHINDI WA NDINGA LA KISHUA

February 6, 2023
MASHAMBA YA BANGI ZAIDI YA HEKTA 6 YATEKETEZWA KWA MOTO, GEITA

MASHAMBA YA BANGI ZAIDI YA HEKTA 6 YATEKETEZWA KWA MOTO, GEITA

February 6, 2023
MBUNGE ATAKA KAMPUNI ZA MAWASILIANO ZIFIDIE WATEJA

MBUNGE ATAKA KAMPUNI ZA MAWASILIANO ZIFIDIE WATEJA

February 6, 2023
Idadi ya Waliofariki katika Tetemeko kubwa la Ardhi Uturuki yafikia Zaidi ya Watu 300

Idadi ya Waliofariki katika Tetemeko kubwa la Ardhi Uturuki yafikia Zaidi ya Watu 300

February 6, 2023
Load More
Next Post
Tiba ya kuondokana na madeni katika maisha

Tiba ya kuondokana na madeni katika maisha

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

February 6, 2023
Simba SC yaibuka Kinara Mechi ya Kwanza Dhidi ya Geita Gold FC Ligi Kuu ya NBC 2022/2023

August 18, 2022
SPORTPESA YANG’AKA YANGA KUKIUKA MAKUBALIANO, KISA MDHAMINI MPYA CAF

February 1, 2023
Bilioni 213 za Miradi ya DMDP Zaistawisha Temeke

February 2, 2023
HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC

HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC

February 7, 2023
DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”

DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”

February 7, 2023
TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

February 7, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumanne Februari 7,2023

February 7, 2023
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In