Serikali ya nchi ya Burundi imesema ipo tayari kusaini mkataba na kampuni ya saruji ya Dangote Cement ili iwekeze katika nchi hio kwa kujenga kiwanda kitachoweza kuzalisha Saruji na huenda ikawa chachu ya kuleta ajira mpya ndani ya nchi hio pia.
MPYA: TigoPesa yazindua Kadi Mtandao (Tigo Pesa Mastercard)
Tigo Pesa kwa kushirikiana na Mastercard na Selcom wazindua rasmi kadi mtandao ili kuwezesha malipo/manunuzi mtandaoni. "Huduma hii ni muendelezo...
Read more