Mchezaji mahiri aliyekuwa anakipiga katika klabu ya Borussia Dortmund Ligi ya Bundesliga nchini Ujerumani, Erling Haaland ambaye kwa sasa amejiunga na klabu yake mpya ya Manchester City na kupewa namba amesema anataka afurahie na kufunga magoli ili kuiwezesha klabu hio kuchukua mataji zaidi.
NAIBU WAZIRI “FA” AIUNGA MKONO TAIFA STARS, AFCON 2023
Katibu Mkuu wa TFF, Kidao Wilfred akimkabidhi jezi ya Timu ya Taifa Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Hamis...
Read more