Msanii wa muziki wa kizazi kipya Harmonize (Rajabu Kahali) aeleza kupitia matandao wa kijamii wa Instagram ya kuwa kwasasa mpenzi wake Kajala Masanja ndie anamjua kiundani zaidi kuliko mama yake “SHE KNOWS ME BETTER DAN ANYBODY EVEN MY MOM AT THIS AGE LOVE YOU HOMIE @kajalafrida
“ hio ni kutokana wawaili hao kuonekana kuwa sehemu ya muda wao mwingi huutumia wakiwa pamoja.
MORGAN HERITAGE KUACHIA ALBUM YAO APRILI 21
Kundi la Morgan Heritage lafunguka kuwa soon litaachia Album yao inayoenda kwa jina la “Homeland” April 21st,2023 na ambayo wamejumuisha...
Read more