Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga imemsimamisha kazi muuguzi, Michelina Mduda kwa kukiuka maadili ya miongozo na taaluma. Taarifa hio ilitokea baada ya muuguzi huyo kumleta madhara mama mjamzito aliyeweza kufika kwa ajili ya kupatiwa huduma katika kituo hicho.
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Januari 31,2023
Karibu uweze kupitia habari kemkem zilizopewa kipaumbele katika kurasa za Magazeti ya leo Jumanne Januari 31,2023 kutokea jijini Dar es...
Read more