Kutokana na mabadiliko ya orodha ya silaha ambazo nchi za Magharibi zinapangwa kusafirishwa au kuuzwa kwa Ukraine ilibadilika. Imejidhihirisha kuwa Ukraine inatumia mifumo ya anga ya ulinzi ya kisasa ukiachana na walivyokuwa hapo awali kuletewa na wakitumia makombora zaidi. Hio imeleta taswira ya kubadilisha muonekano wa vita.
Source: BBC SWAHILI