Mwanasoka mahiri kutokea nchini Malawi Peter Banda (Wonder Kid, kushoto) ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya Simba SC amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mchezo uliozikutanisha timu za taifa za Malawi na Mauritius kwenye mashindano ya COSAFA CUP 2022.
META KUZIACHIA HURU AKANTI ZA TRUMP
Kampuni ya Meta imetangaza kufungua akaunti za Facebook na Instagram za Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump zilizokuwa zimefungwa...
Read more