Kamanda Mkuu Jeshi la Polisi IGP, Simon Sirro ameweza eleza yakuwa jeshi la polisi litashirikiana vema na mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA katika suala zima la kuhakikisha usalama wa mtandaoni, aweka hayo bayana baada ya kutembelea banda la TCRA katika maonyesho ya 46 ya kimataifa ya biashara Sabasaba.
MUSWADA WA BIMA YA AFYA KWA WOTE KIKWAZO TENA
Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote (UHC), ambao ulitakiwa uwasilishwe leo Alhamis 9, 2023 bungeni umekwama kwa mara nyingine....
Read more