ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Tuesday, January 31, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti leo Ijumaa 25.11.2022

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Januari 31,2023

    WAZIRI MKUU: BUNGE BONANZA LIMEFANA

    WAZIRI MKUU: BUNGE BONANZA LIMEFANA

    Teknolojia Mpya ya Kupunguza Maumivu Wakati wa Hedhi

    Teknolojia Mpya ya Kupunguza Maumivu Wakati wa Hedhi

    WIZARA YA AFYA YATOA FURSA KWA RAIA 12 KUSIMAMIA MIRADI

    WIZARA YA AFYA YATOA FURSA KWA RAIA 12 KUSIMAMIA MIRADI

    NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’

    NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti leo Ijumaa 25.11.2022

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Januari 30,2023

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB atunukiwa Tuzo ya Uongozi Bora wa biashara Afrika

iamkrantz by iamkrantz
July 12, 2022
in NEWS
Reading Time: 2 mins read
A A
0
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB atunukiwa Tuzo ya Uongozi Bora wa biashara Afrika
0
SHARES
3
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT
Afisa Mkuu wa Teknolojia na Mabadiliko ya Kidijitali wa NMB – Kwame Makundi (kushoto)akimkabidhi tuzo ya Uongozi wa Biashara Barani Afrika mwaka 2022 – Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB – Ruth Zaipuna. Bi Ruth alitunukiwa tuzo hiyo na Jarida la African Leadership katika hafla iliyofanyika jijini London kwenye ofisi za Bunge la Uingereza juzi na kuwakilishwa na Bwana Kwame Makundi. Tuzo hiyo imemtambua Bi Zaipuna kama kiongozi shupavu na mahiri kwa uongoza wake na ubunifu katika sekta ya benki
Afisa Mkuu wa Teknolojia na Mabadiliko ya Kidijitali wa NMB – Kwame Makundi akipokea tuzo maalum ya Uongozi wa Biashara Barani Afrika mwaka 2022 kutoka kwa Waziri wa Biashara Ofisi ya Waziri Mkuu wa Uingereza – Lord Dollar Popat kwa niaba ya Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB – Ruth Zaipuna. Bi Ruth alitunukiwa tuzo hiyo na Jarida la African Leadership katika hafla iliyofanyika jijini London kwenye ofisi za Bunge la Uingereza juzi na kuwakilishwa na Bwana Kwame Makundi. Tuzo hiyo imemtambua Bi Zaipuna kama kiongozi shupavu na mahiri kwa uongoza wake na ubunifu katika sekta ya benki.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB – Ruth Zaipuna qkipongezwa na wafanyakazi wa NMB baada ya kukabidhiwa tuzo.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi Ruth Zaipuna, ametunukiwa tuzo ya heshima ya uongozi bora wa biashara barani Afrika kwa uongozi wake shupavu wa taasisi hiyo kubwa ya fedha kuliko zote nchini Tanzania.

Ruth Zaipuna ametunukiwa tuzo hiyo maalum ya “African Business Leadership Commendation Award” ya mwaka 2022 na jarida la African Leadership kwa juhudi zake za kuifanya Benki ya NMB kuwa mstari wa mbele katika ujenzi wa taifa na kuchangia kikamilifu kuboresha maisha ya Watanzania.

Jarida hilo linaloshapishwa na Taasisi ya African Leadership Organisation yenye makao yake makuu huko London nchini Uingereza, lina ushawishi mkubwa kimataifa na linaheshimika kwa kuyatangaza mafanikio ya bara la Afrika duniani.

Kwa mujibu wa mwanzilishi na Mwenyekiti Mtendaji wa taasisi hiyo, Dkt Ken Giama, sababu zilizofanya Bi Zaipuna kuibuka kidedea ni pamoja na uongozi wake uliotukuka na kuifanya NMB kuwa kinara wa ubunifu kwenye sekta ya benki nchini.

Dkt Giama alisema zaidi ya kuwa kiongozi mahiri na mwenye msimamo thabiti wa kibiashara, pia uongozi wake umechangia sana kusaidia NMB kutengeneza fursa nyingi za ajira na kuzalisha mali nchini na barani Afrika kwa ujumla. Aidha, aliongeza kuwa ushindi wa Bi. Zaipuna ulitokana na mchakato makini unaozingatia sifa stahiki uliofanywa na timu ya uteuzi ya bodi ya wahariri wa Taasisi hiyo.

Kiongozi huyo wa NMB alitunukiwa heshima hiyo wakati wa kilele cha mkutano wa maendeleo ya Afrika na Tuzo za Uongozi wa Biashara za Afrika (ABLA) zilizofanyika hivi karibuni kwenye Ukumbi wa House of Lords katika Bunge la Uingereza.

Akizungumza kabla ya kupokea zawadi ya Bi. Zaipuna wakati wa shughuli hiyo, Mkuu wa Idara ya Teknolojia na Mabadiliko ya Kidijitali wa NMB, Bw Kwame Makundi, alisema heshima hiyo ya kimataifa ina maana kubwa sana kwa Benki ya NMB na Tanzania kwa ujumla.

Aliwaambia washiriki wa hafla hiyo kuwa tuzo hiyo ni ushahidi wa juhudi za makusudi ambazo uongozi wa Benki ya NMB umekuwa ukizingatia ili kuboresha maisha ya Watanzania na kusaidia maendeleo ya taifa kwa ujumla.

Bi. Zaipuna alisema katika hotuba iliyosomwa kwa niaba yake na Bw Makundi kuwa tuzo hiyo haitambui tu mafanikio na mchango wake kama kiongozi bali pia unatambua mchango wa Serikali ya Awamu ya Sita na Benki Kuu ya Tanzania kuiwezesha NMB kustawi na kuendelea kuwanufaisha wadau wake wote.

Taarifa kwa umma ya benki hiyo ilisema ushindi wa Bi Zaipuna na washindi wenzake 10 wa tuzo za ABLA za mwaka huu zilizofanyika Julai 10 pia ni matokeo ya umakini wao wa kibiashara na mafanikio makubwa katika maendeleo ya sekta binafsi barani Afrika.

Mkutano wa Afrika ni moja ya programu muhimu za jarida la African Leadership unaowaleta pamoja viongozi wa taasisi za umma na sekta binafsi kutoka Afrika, Ulaya na Marekani kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali kwa ajili ya mustakabli mpya wa bara hili na ulimwengu wote.

Taarifa iliyotolewa kwenye vyombo vya habari jana, inaonyesha kuwa mbali na Bi Zaipuna, wengine walioshinda tuzo za ABLA zilizotolewa Julai 4, 2022 ni Mfanyabiashara na Bilionea wa Lesotho Sam Matekane aliyeshinda tuzo ya heshima ya Maisha, Waziri wa Fedha wa Mauritius Dr Renganaden Padayachy, tuzo ya Kiongozi  bora wa Biashara Afrika ilienda kwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Mitaji Nigeria Dr. Akintoye Akindele, Afisa Mtendaji Mkuu wa United Capital Plc ya Nigeria Mr Peter Ashade alishinda Afisa Mtendaji Mkuu wa Mwaka 2022.

ADVERTISEMENT
Previous Post

Dangote Cement Yaalikwa Kuanzisha Kiwanda Cha Saruji Nchini Burundi

Next Post

BENKI YA NBC KUENDELEA KUWAPA NAFASI WAJASIRIAMALI KUSHINDANA KATIKA SOKO

iamkrantz

iamkrantz

RelatedPosts

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti leo Ijumaa 25.11.2022

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Januari 31,2023

by ALFRED MTEWELE
January 31, 2023
0

Karibu uweze kupitia habari kemkem zilizopewa kipaumbele katika kurasa za Magazeti ya leo Jumanne Januari 31,2023 kutokea jijini Dar es...

Read more
WAZIRI MKUU: BUNGE BONANZA LIMEFANA

WAZIRI MKUU: BUNGE BONANZA LIMEFANA

January 30, 2023
Teknolojia Mpya ya Kupunguza Maumivu Wakati wa Hedhi

Teknolojia Mpya ya Kupunguza Maumivu Wakati wa Hedhi

January 30, 2023
WIZARA YA AFYA YATOA FURSA KWA RAIA 12 KUSIMAMIA MIRADI

WIZARA YA AFYA YATOA FURSA KWA RAIA 12 KUSIMAMIA MIRADI

January 30, 2023
NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’

NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’

January 30, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti leo Ijumaa 25.11.2022

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Januari 30,2023

January 30, 2023
Load More
Next Post
BENKI YA NBC KUENDELEA KUWAPA NAFASI WAJASIRIAMALI KUSHINDANA KATIKA SOKO

BENKI YA NBC KUENDELEA KUWAPA NAFASI WAJASIRIAMALI KUSHINDANA KATIKA SOKO

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
CHUKUA HII: TEUZI KABAMBE YA WAKUU WA WILAYA WAPYA 2023

CHUKUA HII: TEUZI KABAMBE YA WAKUU WA WILAYA WAPYA 2023

January 25, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti leo Ijumaa 25.11.2022

Yaliojili kwenye kurasa za Magazeti ya leo Jumatano January 25,2023

January 25, 2023
Simba SC Yamtangaza CEO Mpya

Simba SC Yamtangaza CEO Mpya

January 26, 2023
HATIMAYE LISSU AREJEA TENA NCHINI

HATIMAYE LISSU AREJEA TENA NCHINI

January 25, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti leo Ijumaa 25.11.2022

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Januari 31,2023

January 31, 2023
WAZIRI MKUU: BUNGE BONANZA LIMEFANA

WAZIRI MKUU: BUNGE BONANZA LIMEFANA

January 30, 2023
Teknolojia Mpya ya Kupunguza Maumivu Wakati wa Hedhi

Teknolojia Mpya ya Kupunguza Maumivu Wakati wa Hedhi

January 30, 2023
WIZARA YA AFYA YATOA FURSA KWA RAIA 12 KUSIMAMIA MIRADI

WIZARA YA AFYA YATOA FURSA KWA RAIA 12 KUSIMAMIA MIRADI

January 30, 2023
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In