Benki ya CRDB imewashukuru wafanyabiashara na wajasiriamali waliopata nafasi na kuwahi kujisajiri na Program yako ya Biashara Smart kupitia Instaprenyua itakayohusisha mafunzo mbalimbali kwa Wafanyabiaashara kuhusu matumizi ya mitandao ili kukuza biashara zao ambapo kwa sasa nafsi ya kujisajiri imefungwa.
NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’
Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Wami, Harold Lambileki (kushoto) akimkabidhi kadi ya pikipiki mshindi wa Pikipiki katika droo...
Read more