Baada ya kufanya na kutangaza usajiri mpya kwa uchache klabu ya Simba SC imeitisha mkutano wa waandishi wa habari ambapo msemaji mkuu wa klabu hio Bw. Ahmed Ally alimtambulisha rasmi Kocha Zoran Manojlovic na aliweza kueleza kwa ufupi kuhusu ratiba ya Simba SC kuelekea pre-season hadi msimu mpya wa ligi kuu ambapo katika msimu mpya itaanza kucheza na klabu ya Young Africans SC katika michuano ya kuwania Ngao ya Jamii.
NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’
Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Wami, Harold Lambileki (kushoto) akimkabidhi kadi ya pikipiki mshindi wa Pikipiki katika droo...
Read more