Mchezaji wa Timu ya Taifa Stars Happygod Msuva ambaye kwa mara ya mwisho alikuwa anakipiga katika klabu ya Wydad Casablanca, Morocco ameweza shinda kesi kupitia shirikisho la soka la mpira wa miguu duniani FIFA iliowakabiri waajiri wake katika klabu hio kwa kutomlipa mshahara kwa wakati akiwa anatumikia kama mchezaji wao rasmi, hivyo aliondoka kutoka klabu hio bila ya kulipwa stahiki zake zilizoweza kufikia deni la thamani ya karibia TZS Bil.1 na zaidi.
NMB yafadhili ziara ya mafunzo Machinga, Bodaboda Dar nchini Rwanda
NA MWANDISHI WETU BENKI ya NMB imefadhili ziara ya siku nne ya mafunzo kwa Viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya...
Read more