Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan amewaeleza Viongozi wa kisiasa, dini na waumini kushiriki vema katika kulinda amani na kutunza mazingira ya nchi kupitia mkutano wa maadhimisho ya 20 ya AMECEA ikithibitisha na barua ramsi ambatanishiiliyotolewa na kurungenzi ya Mawasiliano Ofisi ya Rais Ikulu tarehe 12.7.2022 chini ya Mh. Zuhura Yunus, Afisa Habari, Ikulu ili kusisitiza tamko hilo kutoka kwa Rais.
Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa
Nilikuwa kwenye ndoa na dada moja ambaye alikuwa ni mke wangu, miezi kadhaa baada ya kufunga naye ndoa hali ilikuwa...
Read more