Klabu ya Simba SC imewasili jijini Ismailia nchini Misri ili kuweza kutumia muda wao wa pre-season kufanya maandalizi kwaajili ya michezo ya michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2022/2023. Hio ni baada ya kukamilisha sajili mpya chache za wachezaji na kocha mpya kutangazwa ndipo msemaji mkuu idara ya mawasiliano klabu ya Simba SC, Ahmed Ally aliweza kuujuza uma ya kuwa safari yao itaanza rasmi kuelekea huko kwa ajili ya mapumziko na maandalizi kwaajili ya msimu ujao.
NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’
Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Wami, Harold Lambileki (kushoto) akimkabidhi kadi ya pikipiki mshindi wa Pikipiki katika droo...
Read more