Benki ya Taifa ya Biashara NBC Tanzania baada ya kusambaza taarifa kwa wingi kwa umma kuhusu matayarisho ya NBC Dodoma Marathon ambayo itahusisha mgao wa fedha taslimu kwa kila mshindi kutoka kila umbali tofauti wa kukimbia ili kuchangia dhima ya Matibabu ya Saratani ya Shingo ya Kizazi kwa wanawake hususani wakina mama ambao kwa kiasi kikubwa hukabiliwa sana na tatizo hilo, hii leo Julai 18,2022 wamepta nafasi ya kuita mkutano wa waandishi wa habari uliohusisha uzinduzi wa mbio hizo na kuelezea mkazo juu ya dhima ya uchangiaji katika suala hilo.
Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App.
Vodacom M-Pesa na Precision Air waemingia ushirikiano ambao utawawezesha wateja kukata tiketi ya ndege kupitia applikesheni ya M-Pesa Super...
Read more