Klabu ya Simba SC kutoka nchini Tanzania katia kujiimalisha ili kujiandaa kwa msimu mpya wa michuano ya Ligi Kuu Tanzania imeweza kuandaa mechi ya kirafiki dhidi ya Ismaily SC ambapo wametoka sale kwa kufungana 1-1 baada ya kumalzika mchezo huo hapohapo Ismailia ndani ya Nchi ya Misri na kwa timu ya Simba SC mchezaji aliyesajiliwa hivi haribuni Augustine Okrah ndiye amefunga goli hilo wakati wa mchezo.
HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC
Haji Manara aitolea uvivu Bodi ya Ligi kuu ya NBC Tanzania bara (TPLB) kuhusu takwimu za Golikipa wa Simba SC,...
Read more