Mkurugezi katika Shirikisho la Hakimiliki Tanzania, Bw. Victor Tesha kwa niamba ya timu nzima ya COSOTA ametoa tangazo linaloonyesha utaratibu utakavokuwa unatumika kukusanya maoni ya namna nzuri ya kuweza kusimamia hakimiliki za bunifu mbalimbali hapa nchini hivyo imeainishwa baaadhi ya mikoa ambapo tukio hilo litachukua nafasi jumuishi kwa kila kanda ikianziwa na mkoa wa Dar es Salaam kwa ukanda wa Mashariki.
WABUNGE WAONYA KUWEKEA VIKWAZO SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA
Msemaji wa Ikulu ya Marekani Karine Jean-Pierre ameonya Wabunge wa Bunge la Uganda kwamba vikwazo vitakavyowazuia kufanya biashara na Marekani...
Read more