Msemaji mkuu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Gerson Msigwa “Hongera @huaweimobiletz kwa juhudi kubwa za kuwatengenezea fursa vijana wa Tanzania katika TEHAMA.
:
Mimi ni shuhuda wa juhudi hizi na nilifurahi sana nilipokwenda Makao Makuu ya Huawei katika Jiji la Shenzhen nchini China na kuwaona vijana wa Tanzania wanapiga kazi.
Again kudos @huaweimobiletz and @huawei”