Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam RC Amos Makalla ameeleza yakuwa baada ya Soko la Kariakoo pamoja na masoko mengine kukamilika au kuleta mazingila wezeshi ya uendeshaji biashara, serikali itaruhusu biashara kufanywa masaa 24. Hio ni kutokana na maeneo mengi ya biashara kutokua na miundombinu inzyokizi huduma ziweze fanyika muda mwingi.
Nmb Yashiriki Kilele Cha Wiki Ya Sheria Dodoma
Benki ya NMB imeshiriki kilele cha wiki ya Sheria nchini iliyomalizika leo jijini Dodoma. Pichani, Meneja wa Kanda...
Read more