Timu ya Taifa la Tanzania, Taifa Stars katika kujiweka sawa kuelekea michuano ya CHAN msimu huu wameamua kuanza na mchezo wa kirafiki dhidi ya Sudan ya Kusini hii leo ili kuimarika kwa ajili ya michezo ijayo.
Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 18.08.2022
Manchester United wako tayari kulipa pauni milioni 67 kwa kiungo wa kati wa Real Madrid Casemiro, 30 na mara mbili...
Read more