ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Tuesday, February 7, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

    TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumanne Februari 7,2023

    TIGO KWENDA KUMKABIDHI GARI MSHINDI WA NDINGA LA KISHUA

    TIGO KWENDA KUMKABIDHI GARI MSHINDI WA NDINGA LA KISHUA

    MASHAMBA YA BANGI ZAIDI YA HEKTA 6 YATEKETEZWA KWA MOTO, GEITA

    MASHAMBA YA BANGI ZAIDI YA HEKTA 6 YATEKETEZWA KWA MOTO, GEITA

    MBUNGE ATAKA KAMPUNI ZA MAWASILIANO ZIFIDIE WATEJA

    MBUNGE ATAKA KAMPUNI ZA MAWASILIANO ZIFIDIE WATEJA

    Idadi ya Waliofariki katika Tetemeko kubwa la Ardhi Uturuki yafikia Zaidi ya Watu 300

    Idadi ya Waliofariki katika Tetemeko kubwa la Ardhi Uturuki yafikia Zaidi ya Watu 300

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

BENKI YA NMB YAPONGEZWA KUWAJALI WALIMU

iamkrantz by iamkrantz
July 20, 2022
in Uncategorized
Reading Time: 2 mins read
A A
0
BENKI YA NMB YAPONGEZWA KUWAJALI WALIMU
0
SHARES
3
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) – Mhe. Innocent Bashungwa pamoja na Mkuu wa Idara ya huduma za Serikali wa NMB – Bi Vicky Bushubo (kushoto) wakifunua pazia kama ishara ya kuzindua rasmi kifurushi cha NMB ‘Mwalimu Spesho – Umetufunza Tunakutunza’ Wilayani Karagwe Mkoani Kagera. Akishuhudia ni Mkuu wa Wilaya ya Karagwe – Mhe. Julieth Nkembanyi Binyura (kulia)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) – Mhe. Innocent Bashungwa akionyeshwa na Mkuu cha wa Idara ya huduma za Serikali wa NMB – Bi Vicky Bushubo chombo cha usafiri aina ya Boda boda ambayo inaweza kupatikana kupitia mkopo wa chombo cha usafiri ambao ni moja ya masuluhisho ya kifurushi cha Mwalimu Spesho. Wakishuhudia ni Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa NMB – Bi. Aikansia Muro, Meneja wa NMB Kanda ya Ziwa – Bw. Ladislaus Baraka na Mkuu wa Wilaya ya Karagwe – Mhe. Julieth Nkembanyi Binyura (kulia)

Sehemu ya Walimu walioyohudhuria hafla ya uzinduzi wa NMB ‘Mwalimu Spesho – Umetufunza Tunakutunza’ katika ukumbi wa ELCT – Kayanga, Karagwe

Benki ya NMB imepongezwa kwa kuwajali Walimu kupitia huduma zake mbalimbali zinazotoa masuluhisho ya kifedha kukidhi mahitaji ya kundi hilo.

Haya yamesemwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) – Mhe. Innocent Bashungwa wakati akizindua kifurushi cha NMB ‘Mwalimu Spesho – Umetufunza Tunakutunza’chenye masuluhisho mahususi kwa ajili ya kukidhi mahitaji mbalimbali ya Walimu Mkoani Kagera.

Kifurushi cha ‘Mwalimu Spesho’ kimejumuisha huduma zote zinazomuwezesha Mwalimu: Kupata Mikopo yenye riba nafuu -ikiwemo ya kujiendeleza kielimu yeye na watoto wake, mikopo ya biashara ndogo ndogo, ujenzi, vyombo vya moto kama Boda boda na Pikipiki za miguu mitatu. Kupata mkopo wa Bima yaani Insurance Premium Finance (IPF), ambayo inawezesha Walimu kulipa bima na kujikinga dhidi ya majanga mbalimbali. Lakini pia, Walimu watapata mikopo ya pembejeo na Mashine za kilimo pamoja na kupata elimu ya masuala ya kifedha.

Mhe. Bashungwa aliwaasa Walimu kutumia fursa hii kuelewa kwa kina na upana huduma mbalimbali zinazotolewa na NMB na ni jinsi gani wanaweza kunufaika nazo kwa unafuu, uharaka na ufanisi kwa wakati wote ili wazidi kuboresha hali zao za kiuchumi.

Nae, Mkuu wa Idara ya huduma za Serikali wa NMB – Bi Vicky Bushubo alisema, NMB itaendelea kuja na masuluhisho bora na nafuu kwa watanzania na uwajibikaji wake kwa jamii ukibaki kuwa katika viwango vya juu huku wakiendela kushirikiana na Serikali kuhakikisha kwa pamoja, wanasukuma mbele maendeleo ya kiuchumi ya Taifa na Watanzania kwa ujumla.

Benki ya NMB kila inapokutana na Walimu, hutumia fursa hiyo kuwahabarisha juu ya maendeleo yake pamoja na huduma mbalimbali zinazo wahusu na kupata mrejesho na  mawazo yatakayo wasaidia kuendelea kuboresha huduma zao.

Mpaka sasa, NMB kupitia Mwalimu Spesho, imewafikia Walimu wa Mikoa ya Dodoma, Singida, Morogoro, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Mwanza na Kagera na bado wanaendelea kufikia Mikoa mingine.

………………………………………………………………………………………………………………..

ADVERTISEMENT
Previous Post

MSIGWA AIPONGEZA KAMPUNI YA HUAWEI KUJA NA SUB-SAHARAN ICT COMPETITION

Next Post

MSUYA ATOA MAONI KATIBA MPYA/ MAJALIWA AANIKA MAGEUZI YA ELIMU/HII NI KUBWA LAO/ NABI ARUDI NA SIRI NZITO…….MAGAZETINI LEO JUMATANO TAREHE 20 JULAI

iamkrantz

iamkrantz

RelatedPosts

NMB yazindua Umebima 2023 kutoa elimu zaidi ya bima
Uncategorized

NMB yazindua Umebima 2023 kutoa elimu zaidi ya bima

by iamkrantz
January 31, 2023
0

Kutoka Kushoto: Mkuu wa Idara ya Bima - Benki ya NMB, Martine Massawe; Kamishna wa Bima nchini, Dkt. Baghayo Saqware;...

Read more
Pesapal Yaja na suluhisho la kisasa kusimamia uendeshaji wa vituo vya mafuta

Pesapal Yaja na suluhisho la kisasa kusimamia uendeshaji wa vituo vya mafuta

January 25, 2023
Waziri Dkt. Gwajima katika ofisi zao za Makao Makuu jijini Dar es Salaam.

Waziri Dkt. Gwajima katika ofisi zao za Makao Makuu jijini Dar es Salaam.

January 25, 2023
MSHINDI WA NMB MASTABATA KOTEKOTE AKABIDHIWA ZAWADI YA PIKIPIKI MKOANI TABORA

MSHINDI WA NMB MASTABATA KOTEKOTE AKABIDHIWA ZAWADI YA PIKIPIKI MKOANI TABORA

January 23, 2023
NMB YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KATIKA VITUO VYA AFYA MKONOO, LEVOLOSI MKOANI ARUSHA

NMB YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KATIKA VITUO VYA AFYA MKONOO, LEVOLOSI MKOANI ARUSHA

January 23, 2023
Benki ya NMB yaingia makubaliano na Serikali ya Zanzibar uhifadhi bustani ya Forodhani

Benki ya NMB yaingia makubaliano na Serikali ya Zanzibar uhifadhi bustani ya Forodhani

January 23, 2023
Load More
Next Post
MSUYA ATOA MAONI KATIBA MPYA/ MAJALIWA AANIKA MAGEUZI YA ELIMU/HII NI KUBWA LAO/ NABI ARUDI NA SIRI NZITO…….MAGAZETINI LEO JUMATANO TAREHE 20 JULAI

MSUYA ATOA MAONI KATIBA MPYA/ MAJALIWA AANIKA MAGEUZI YA ELIMU/HII NI KUBWA LAO/ NABI ARUDI NA SIRI NZITO.......MAGAZETINI LEO JUMATANO TAREHE 20 JULAI

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

February 6, 2023
Simba SC yaibuka Kinara Mechi ya Kwanza Dhidi ya Geita Gold FC Ligi Kuu ya NBC 2022/2023

Simba SC yaibuka Kinara Mechi ya Kwanza Dhidi ya Geita Gold FC Ligi Kuu ya NBC 2022/2023

August 18, 2022
SPORTPESA YANG’AKA YANGA KUKIUKA MAKUBALIANO, KISA MDHAMINI MPYA CAF

SPORTPESA YANG’AKA YANGA KUKIUKA MAKUBALIANO, KISA MDHAMINI MPYA CAF

February 1, 2023
Bilioni 213 za Miradi ya DMDP Zaistawisha Temeke

Bilioni 213 za Miradi ya DMDP Zaistawisha Temeke

February 2, 2023
HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC

HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC

February 7, 2023
DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”

DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”

February 7, 2023
TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

February 7, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumanne Februari 7,2023

February 7, 2023
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In