ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Sunday, April 2, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    SAKA AIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI MACHI EPL

    SAKA AIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI MACHI EPL

    HOMA YA DENGUE YAIBUKA KWA KASI SUDAN

    HOMA YA DENGUE YAIBUKA KWA KASI SUDAN

    TRUMP AJIBU MASHTAKA

    TRUMP AJIBU MASHTAKA

    MAANDAMANO KENYA YAHISIWA KUWA MAKUSUDI

    MAANDAMANO KENYA YAHISIWA KUWA MAKUSUDI

    KCMC YAPOKEA VIFAA TIBA VYA UPASUAJI

    KCMC YAPOKEA VIFAA TIBA VYA UPASUAJI

    OSCAR PISTORIUS: UWEZEKANO KUACHILIWA MAPEMA KUZINGATIWA

    OSCAR PISTORIUS: UWEZEKANO KUACHILIWA MAPEMA KUZINGATIWA

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result

NMB na neema mpya kwa wakulima, wavuvi, wafugaji

iamkrantz by iamkrantz
July 20, 2022
in Uncategorized
Reading Time: 3 mins read
A A
0
NMB na neema mpya kwa wakulima, wavuvi, wafugaji
0
SHARES
5
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Kaimu Afisa Mkuu wa Udhibiti na Utekelezaji wa NMB- Ndg. Oscar Nyirenda akiongea kwenye warsha ya wafanyabiashara wa mkoa wa Lindi (NMB Business Club Lindi). Benki ya NMB iliwafunda zaidi ya  wafanyabiashara 700 kutoka Mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma kuhusu Elimu ya biashara na fedha.
 
Baadhi ya wafanyabiashara wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali zilizotolewa katika hafla ya ufunguzi wa NMB business Klabu iliyofanyika Katika ukumbi wa Sea view Beach Resort iliyopo Mkoani Lindi. 

Na Mwandish Wetu

KWA mara ya kwanza wakulima, wavuvi na wafugaji nchini wataweza kupata mikopo kutoka Benki ya NMB kwa riba nafuu kwa ajili ya kuendeleza shughuli zao, baada ya taasisi hiyo kupunguza riba hadi asilimia tisa.

Hatua ya benki hiyo kupunguza riba ni utekelezaji wa maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aliyotoa mwaka huu kwa taasisi za kifedha kupunguza riba hadi kufikia namba moja (Single Digit).

Kaimu Afisa Mkuu wa Udhibiti na Utekelezaji wa Benki ya NMB, Ndg. Oscar Nyirenda alisema kuwa NMB imepunguza riba ya mikopo kwa sekta mama za kilimo, uvuvi na ufugaji hadi kufikia asilimia tisa mwaka 2022.

Alisema kuanzia Julai, 2021 hadi Juni 2022 jumla ya mikopo 37,500 yenye thamani ya Sh bilioni 752.7 imetolewa kwa wafanyabiashara wadogo na wa kati kwa ajili ya kuendeleza shughuli zao za biashara.

Aliongezea kuwa kushuka kwa riba kumesababisha idadi ya wafanyabiashara wanaokopa katika benki hiyo kuongezeka kulinganisha na miaka ya nyuma kabla ya NMB kupunguza kwa kiwango hicho cha riba ya mikopo yake.

Meneja wa NMB Kanda ya kusini, Janeth Shango alisema benki hiyo iko tayari kuwahudumia wafanyabiashara katika mitaji na elimu ili huduma zao ziwe na ufanisi na faida kwao pia.

Mwenyekiti wa klabu ya wafanyabiashara ya benki hiyo Mkoa wa Mtwara, Hamisi Bandari alisema kuwa changamoto walizonazo ni pamoja na kutokuwa na elimu ya masuala ya kodi, utunzaji na usimamizi wa fedha na hofu ya kutafuta mitaji.

Lakini pia, aliwataka wafanyabaishara wa Mtwara kujipanga kuchangamkia fursa za kibiashara zinazofunguka hususani za visiwa vya Comoro na wenye mitaji midogo kufika Benki ya NMB kuomba mikopo.

Mwenyekiti wa Wafanyabiashara wa Mkoa wa Lindi, Hamis Livembe aliiomba serikali pamoja na taasisi za kifedha kuwatengenezea mazingira mazuri ya kifedha ili waweze kushiriki katika miradi mikubwa iliyopo mkoani humo mfano mradi mkubwa wa gesi LNG ambao unaashiria mabadiliko makubwa ya kimaendeleao mkoani Lindi.

Previous Post

MSUYA ATOA MAONI KATIBA MPYA/ MAJALIWA AANIKA MAGEUZI YA ELIMU/HII NI KUBWA LAO/ NABI ARUDI NA SIRI NZITO…….MAGAZETINI LEO JUMATANO TAREHE 20 JULAI

Next Post

RAIS SAMIA AMUAPISHA IGP MPYA

iamkrantz

iamkrantz

RelatedPosts

NMB Bonge la Mpango – ‘Moto Uleule’ yazinduliwa, wateja kuzoa Mil. 180/-
Uncategorized

NMB Bonge la Mpango – ‘Moto Uleule’ yazinduliwa, wateja kuzoa Mil. 180/-

by iamkrantz
March 31, 2023
0

Mkuu wa Wilaya ya Misungwi, Mhe. Paul Chacha pamoja na Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya...

Read more

Mtanzania aibuka kinara tuzo za uvumbuzi kwenye teknolojia barani Africa

March 31, 2023
ROYAL TOUR YATIKI, NDEGE 3 ZATUA KIA

ROYAL TOUR YATIKI, NDEGE 3 ZATUA KIA

March 31, 2023
BENKI YA NMB YADHAMINI MKUTANO WA WAHARIRI MOROGORO

BENKI YA NMB YADHAMINI MKUTANO WA WAHARIRI MOROGORO

March 30, 2023
Benki ya NMB Yakabidhi  vifaa vya ujenzi kwa shule ya msingi Sinyaulime na Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa (FDC)

Benki ya NMB Yakabidhi vifaa vya ujenzi kwa shule ya msingi Sinyaulime na Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa (FDC)

March 30, 2023
Naibu Waziri   aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya  michezo

Naibu Waziri   aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya  michezo

March 27, 2023
Load More
Next Post
RAIS SAMIA AMUAPISHA IGP MPYA

RAIS SAMIA AMUAPISHA IGP MPYA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

  • Trending
  • Comments
  • Latest
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Machi 27,2023

March 27, 2023
MFAHAMU MVUVI ALIYEPOTELEA BAHARINI SIKU 438, NA KUKUTWA BADO YUPO HAI

MFAHAMU MVUVI ALIYEPOTELEA BAHARINI SIKU 438, NA KUKUTWA BADO YUPO HAI

March 28, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Habari Kuu Kwenye Magazeti ya Leo Machi 28,2023

March 28, 2023
WASANII BONGO WALIOTAJWA PLAYLISTS YA KAMALA

WASANII BONGO WALIOTAJWA PLAYLISTS YA KAMALA

March 28, 2023
SAKA AIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI MACHI EPL

SAKA AIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI MACHI EPL

March 31, 2023
HOMA YA DENGUE YAIBUKA KWA KASI SUDAN

HOMA YA DENGUE YAIBUKA KWA KASI SUDAN

March 31, 2023
NMB Bonge la Mpango – ‘Moto Uleule’ yazinduliwa, wateja kuzoa Mil. 180/-

NMB Bonge la Mpango – ‘Moto Uleule’ yazinduliwa, wateja kuzoa Mil. 180/-

March 31, 2023

Mtanzania aibuka kinara tuzo za uvumbuzi kwenye teknolojia barani Africa

March 31, 2023
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In