Mchezaji mahiri nafasi ya Golikipa Aishi Manula (Air Manula) anayedakia Klabu ya Simba SC ameongeza mkataba wake wa miaka mitatu unaomfanya aendelee kusalia na kuitumikia timu hio hadi mwaka 2025. Hadi kufikia muda huo atakuwa ameitumikia klabu hio kwa takribani misimu 7.
SIMBA SC YAENDELEZA MAANDALIZI MCHUANO WA NGAO YA JAMII
Klabu ya Simba SC yaendelea na mazoezi ya kujifua kuelekea mchezo ya Ngao ya Jamii utakaochezwa Agosti 13 dhidi ya...
Read more