Msemaji mkuu wa klabu ya Yanga, Haji Manara afungiwa na Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania kwa kuwa ilijidhihirisha kuwa Msemaji huyo alikiuka mwa kumtamkia maneno yasiopendeza kwa Rais Shirikisho hilo Bw Wallece Karia.
Hivyo katibu wa Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Walter Lungu asoma hukumu ya Kamati kuhusu shauri lililowasilishwa la Ofisa wa Yanga Haji Manara