Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC yaja na suala la kufanya maboresho ya Soko huru ambalo hadi sasa linatimiza miaka 10 tangu lipoanzishwa, imehusisha viongozi wote wa jumuiya hivyo kama wanachama wameona umuhimu wa soko hilo na kufanya maamuzi ya kuboresha miundombinu ili kurahisisha uzalishaji na uchukuzi wa mazao na bidhaa kutoka sehemu tofauti za nchi zilizojiunga katika jumuiya hio. Taasisi za kibenki kama Benki ya Afrika na uwezeshaji wa kifedha kutoka kwa Serikali ya Japani vitasaidia kufanikisha uboreshaji wa soko hilo.
TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe, Dkt. Selemani Jafo amesema biashara ya kaboni itasaidia...
Read more