Mchezaji wa soka la kulipwa mwenye asili ya Senegal ambaye kwa sasa anakipiga mnamo klabu ya Simba SC nchini Tanzania, Pape Ousimane Sakho ameshinda tuzo ya Goli Bora la Mwaka katika michuano ya Ligi ya Mabingwa CAF inayodhaminiwa na TOTAL ENERGIES, tuzo hizo zilitolewa usiku wa julai 21 2022 nchini Senegal.
HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC
Haji Manara aitolea uvivu Bodi ya Ligi kuu ya NBC Tanzania bara (TPLB) kuhusu takwimu za Golikipa wa Simba SC,...
Read more