Mwanasoka mahiri mwenye asili ya Bukinafaso aliyekuwa anakipiga mnamo klabu ya Al-Salt SC , Mohamed Quattara ajiunga rasmi na klabu ya Simba yenye makao yake Kariakoo nchini Tanzania ambayo kwa sasa ipo katika mapumziko huko nchini Ismailia nchini Misri kuhudumu nafasi ya beki katika michezo mbalimbali ikijumuisha michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu ujao.
MESUT ÖZIL ATANGAZA KUSTAAFU SOKA
Nyota wa zamani wa Ujerumani, timu ya soka ya Real Madrid na Arsenal, Mesut Özil, ametangaza kustaafu soka la kulipwa....
Read more