Mwanamasumbwi kutoka kikosi cha jeshi Tanzania Seleman Kidunda atamba dhidi ya mwanamasumbwi kutoka Jumuiya ya Kidemokrasia ya Congo Katompa kudhihirisha bado atachukua tena ubingwa wa mkanda wa WBF katika mashindano yatakayofanyika tarehe 30 Julai 2022 na kuendelea kumfurahisha mkuu wa majeshi ambaye amemuamini tangu siku ya kwanza alipoanza shiriki mchezo wa ngumi za kulipwa.
SIMBA SC YAENDELEZA MAANDALIZI MCHUANO WA NGAO YA JAMII
Klabu ya Simba SC yaendelea na mazoezi ya kujifua kuelekea mchezo ya Ngao ya Jamii utakaochezwa Agosti 13 dhidi ya...
Read more