Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanznia Mh. Samia Suluhu Hassan amedokeza kuhusu kuhamisha na kufanyia maboresho zaidi mnara wa kumbukizi za mashujaa walioipigania nchi hii kwa uzalendo ili kuweza kupisha zaezi zima la upanuzi wa maeneo ya jiji ili kutekeleza mpango mkakati wa nchi wa maendeleo endelevu, mnara huo umependekezwa kujengwa mahali pengine na utajengwa kwa hadhi zaidi.
BUNGE LAMUONDOSHA RAIS MADARAKANI
Bunge la nchini Peru limetoa maamuzi ya kumuondoa madarakani Rais wa taifa hilo Pedro Castillo na nafasi yake kuzibwa na...
Read more