Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhini LATRA Bw. Habibu Suluo kupitia mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika Julai 26,2022 akiwa pamoja na timu ya watumishi wengine kutoka mamlaka hio wameeleza mikakati madhubuti ambayo itahakikisha hali nzuri katika usafiri wa ardhi hivyo mamegusia kuhusu udhibiti wa mwendo kasi, gharama za nauli kupanda, ufanyikaji biashara ndani ya vyombo vya usafiri, utupaji ovyo wa taka, usafi wa wadau na chombo cha usafiri na usumbufu kwa wasafiri pale chombo cha usafiri kiharibikapo.
Source: Maelezo TV