Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara, Filbert Mponzi, Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi, Aikansia Muro pamoja na Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam wajumuika na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh Amos Makalla akiwa mgeni rasmi wamefanya uzinduzi wa kifurushi cha “MWALIMU SPESHO” ambacho kinampa mwalimu machaguo tofauti ili kutimiza malengo yake binafsi.
Hayo yameweza elezwa kupitia mitandao ya kijaamii ya Benki hio kupitia idara ya mahusino/ mawasilianoipo kama ifuatavyo:
Mwalimu, umesikia kuhusu kifurushi cha “Mwalimu Spesho” chenye masuluhisho mahsusi kwa ajili yako?
Leo tumeibuka Dar es Salaam na ‘Mwalimu spesho – Umetufunza Tunakutunza’ – kifurushi kinachokuwezesha Mwalimu kupata mikopo na huduma za kifedha zikiwemo:





Kifurushi hiki kimezinduliwa na Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam – Mhe. Amos Makalla na tumewakilishwa na Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara – Filbert Mponzi, Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi – Aikansia Muro pamoja na Meneja wetu wa Kanda ya Dar es Salaam – Donatus Richard.
Karibu tukuhudumie!