Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan amemteuwa Mh. Caroline Chipeta aliyekuwa Mwanasheria Wizara ya Mambo ya Nje ya Nchi Afrika Mashariki kuwa balozi kuliwakilisha taifa la Tanzania nchini Uholanzi leo hii.
TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe, Dkt. Selemani Jafo amesema biashara ya kaboni itasaidia...
Read more