Klabu ya Simba Sports Club yenye makao makuu yake Kariakoo jijini Dar es Salaam nchini Tanzania imefikisha wafuasi (wafuatiliaji) 1M katika akaunti yao ya mtandao wa kijamii wa Twitter, na hio inaonesha kuchagizwa na kampuni inayoizamini kwa sasa M-Bet inayojihusisha na ubashiri wa michezo walioungana nao mwaka huu baada ya kuachana na wazamini wao wa hapo awali SportPesa. Hivyo kupitia mitandao ya kijamii klabu hio imeweza washukuru wote waliowezesha kufikia hapo.
NAIBU WAZIRI “FA” AIUNGA MKONO TAIFA STARS, AFCON 2023
Katibu Mkuu wa TFF, Kidao Wilfred akimkabidhi jezi ya Timu ya Taifa Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Hamis...
Read more