Kampuni ya michezo ya bahati nasibu, SportPesa imesalia kuwa mdhamini mkuu wa klabu ya Young Africans SC kwa kuongeza mkataba wenye thamani ya bilioni 12 na klabu hio huku klabu ya Simba SC yaingia makubaliano na mdhamini mpya M-Bet.
MERIDIAN BET YAGUSA MAMA NTILIE
WAUZAJI wa vyakula maeneo ya Manzese na Kariakoo jijini Dar es Salaam leo wamepewatiwa msaada wa Aprons , ili ziweze kuwwasaidia...
Read more