Zikiwa zimesalia siku 3 hapa ni Baadhi ya washiriki wa #NBCDodomaMarathon2022 wakichukua vifurushi vyao na wengine wakifanya usajili na kuchukua vifurushi vyao papo hapo.
Kwa wakazi wa Dar tembelea vituo vifuatavyo:


Mtaa wa Azikiwe na Sokoine



Karibu na tawi la NBC

Kwa wakazi wa Dodoma tembelea vituo vifuatavyo:


Karibu na ofisi za TRA
Mtaa wa Kuu



Mtaa wa Medeli

Usikose kushiriki Marathon ya Kimataifa.


