
Benki ya Biashara CRDB Bank PLC imeungana na wateja wake wa Kanda ya Kaskazini kusherekea ushindi wa tuzo ya Euromoney waliyoshinda hivi karibuni nchini Uingereza. Hafla hii fupi ya kutoa shukrani kwa wateja wao wa Kanda ya Kaskazini ilifanyika katika tawi la CRDB Bank Meru.
Kwani inajivunia mafanikio hayo, na kuwashukuru wateja, wanahisa wake, Serikali, na washirika wote kwa kuwa sehemu ya safari ya mafanikio hayo.
Ahadi yao ni kuendeleza ubunifu katika huduma zao, na kushirikiana na wadau wao ikiwamo Serikali ili kuboresha maisha ya Watanzania na uchumi wa Taifa.