Waziri mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa aeleza ya kuwa uzuiaji wa Malori kutoendelea na taratibu za usafilishaji hukwamisha sana shughuli na maendeleo ya kiuchumi ukizingatia aina ya magari hayo yanamchango mkubwa katika kukuza uchumi wa taifa kiujumla kwani yametoa ujira kwa watu mbalimbali ambao wanajipatia kipato na kuipatia serikali mapato, hivyo akasema ” kuzuia malori kutofanya Safari zake ni Kuhujumu uchumi” kwa sababu inakwamisha ukuaji wa uchumi kwa kiasi kikukwa.
Vodacom Tanzania yawajengea uwezo wa Tehama Wanafunzi wa kike jijini Dodoma
Meneja Mauzo wa Vodacom Kanda ya Kati, Athumani Ngoma (kulia) akimkabidhi zawadi ya begi mwanafunzi, Christina Kaguge wa shule ya...
Read more