ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Tuesday, February 7, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

    TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumanne Februari 7,2023

    TIGO KWENDA KUMKABIDHI GARI MSHINDI WA NDINGA LA KISHUA

    TIGO KWENDA KUMKABIDHI GARI MSHINDI WA NDINGA LA KISHUA

    MASHAMBA YA BANGI ZAIDI YA HEKTA 6 YATEKETEZWA KWA MOTO, GEITA

    MASHAMBA YA BANGI ZAIDI YA HEKTA 6 YATEKETEZWA KWA MOTO, GEITA

    MBUNGE ATAKA KAMPUNI ZA MAWASILIANO ZIFIDIE WATEJA

    MBUNGE ATAKA KAMPUNI ZA MAWASILIANO ZIFIDIE WATEJA

    Idadi ya Waliofariki katika Tetemeko kubwa la Ardhi Uturuki yafikia Zaidi ya Watu 300

    Idadi ya Waliofariki katika Tetemeko kubwa la Ardhi Uturuki yafikia Zaidi ya Watu 300

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Betway Yaadhimisha Mwaka 1 Tanzania Bara Na Yazindua Jackoport ya Kihistoria

Dar es Salaam, Tanzania

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
July 29, 2022
in SPORTS
Reading Time: 5 mins read
A A
0
Betway Yaadhimisha Mwaka 1 Tanzania Bara Na Yazindua Jackoport ya Kihistoria
0
SHARES
6
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Jimmy Masaoe, Meneja Uendeshaji wa Betway Tanzania (mwenye suti nyeusi) akiwaongoza wafanyakazi wa kampuni hiyo kukata keki kama ishara ya kuadhimisha mwaka mmoja wa Betway nchini Tanzania. Hafla ya maadhimisho ya mwaka mmoja wa Betway Tanzania ilifanyika jioni ya Jumatano Julai 27 jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubashiri Tanzania, James Mbalwe akizungumza na washiriki wa hafla ya kuadhimisha mwaka mmoja wa Betway Tanzania (hawapo pichani). Mbalwe alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo iliyofanyika jioni ya Jumatano Julai 27 jijini Dar es Salaam.
***
Betway inayomilikiwa na Super Group, ambayo ni kampuni maarufu ya kimataifa ya ubashiri na bahati nasibu katika michezo mtandaoni imetimiza mwaka mmoja tangu izinduliwe rasmi nchini Tanzania. Katika hafla fupi ya kuadhimisha mwaka mmoja wa kampuni hiyo nchini Tanzania iliyofanyika Jumatano Julai 27, 2022 jijini Dar es Salaam, Betway ilizindua huduma na bidhaa mpya ikiwemo Betway Jackpot na jukwaa jipya la kubashiri kidigitali.  
Tangu ilipoingia Tanzania, Betway imetekeleza mambo kadhaa makubwa ikiwemo ukarabati wa viwanja vya michezo, ufunguzi wa kituo cha kisasa cha kushuhudia michezo, pamoja na kuunda ushirikiano na mamlaka za michezo na wadau ili kukuza maendeleo ya michezo nchini. Sambamba na hayo, kampuni ya Betway imechangia katika uboreshaji wa sekta ya ubashiri na michezo ya kubahatisha kwa kuanzisha huduma bora za kuwezesha ubashiri kupitia majukwaa ya kidigitali. 
Akizungumza wakati wa hafla hiyo iliyowakutanisha zaidi ya wadau 50 wa sekta ya ubashiri na michezo, Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, James Mbalwe ambaye alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo aliipongeza kampuni ya Betway kwa jitihada za kukuza maendeleo ya michezo nchini Tanzania na kuitaka kampuni hiyo kuendelea kuwa mfano mzuri kwa makampuni mengine. Vilevile Mbalwe alitoa rai kwa Betway na makampuni mengine ya ubashiri na michezo ya kubahatisha kuisaidia Bodi hiyo katika utekelezaji kanuni na sera zinazolenga kukuza uwajibikaji katika sekta ya ubashiri na michezo ya kubahatisha. 
“Sekta ya ubashiri na michezo ya kubahatisha kwa sasa inakua kwa kasi, katika miongo miwili iliyopita ya kuanzishwa kwa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha kumekuwa na upanuzi wa shughuli za ubashiri na michezo ya kubahatisha. Ukuaji huu umechangia ongezeko kubwa la ukusanyaji wa mapato ambapo sekta ya michezo ya kubahatisha ilipata ukuaji wa asilimia 20.69 katika ukusanyaji wa ushuru wa michezo ya kubahatisha kutoka TZS 78.8 bilioni mwaka 2017/18 hadi TZS 95.1 bilioni mwaka 2018/19. Haya ni mafanikio makubwa ambayo hayawezi kupuuzwa. Mbali na hayo, sekta hii imeibua fursa za ajira kwa Watanzania, imevutia uwekezaji wa moja kwa moja kutoka nje, na kuchangia katika maendeleo ya teknolojia kupitia uhamishaji wa teknolojia unaofanywa na makampuni haya yanapokuja kuwekeza Tanzania”, alisema Mbalwe.
“Tunawapongeza Betway kwa sababu katika kipindi cha mwaka mmoja wamefanikiwa kuweka historia nzuri katika sekta ya ubashiri na michezo ya kubahatisha hasa kwa kushika kibendera na kuendeleza dhana ya uwajibikaji katika ubashiri, kuleta teknolojia za kisasa za kidigitali, kuanzisha mazingira ya kisasa ya kushuhudia michezo, na muhimu zaidi kuchangia uboreshaji wa miundombinu ya michezo. Haya ni mambo ya kupongeza, tunatumai kampuni nyingine za ubashiri na michezo ya kubahatisha zitajifunza kupitia Betway.” aliongeza Mbalwe.
Kwa upande mwingine, Betway ilitumia fursa hiyo kutambulisha bidhaa zake na huduma zake mpya ikiwa ni pamoja na Betway Jackpot, jukwaa jipya la kubashiri kidigitali, mabalozi wapya, na kampeni mbili ambazo ni kampeni ya Chomoka na Odds na nyongeza ya 700% kwa wateja wa kampuni hiyo. Akizungumzia mwelekeo mpya uliotangazwa kampuni hiyo, Calvin Mhina ambaye ni Meneja Masoko wa Betway Tanzania alisema.
 
“Kulingana na utafiti wetu na uzoefu tuliokusanya katika kipindi cha mwaka mmoja, tumekuja na bidhaa za kusisimua zaidi ambazo zitawafaa wateja wetu. Kwa kuanza, tumezindua jukwaa jipya la kubashiri kwa urahisi zaidi kidigitali ili kuwarahisishia huduma wateja wetu. Pia tumezindua jackpot kubwa zaidi nchini yenye zawadi kubwa zaidi ya TZS 5,000,000,000, ili kuwapa wateja wetu machaguo zaidi na uwezekano mkubwa zaidi wa kuboresha maisha yao kupitia ubashiri na michezo ya kubahatisha. Hatua nyingine kubwa ambayo tumefanya leo ni kuzindua odds mpya na kuongeza kiwango cha ushindi kwa 700%. Tunatumai haya yataendekea kuongeza chachu ya maendeleo ya sekta ya kamari nchini Tanzania.” alisema Mhina.
Kupitia hafla hiyo iliyopambwa na huduma mbalimbali za kimichezo, Betway pia ilitambulisha waraghibishi wawili wapya kwa lengo kukuza uhamasishaji wa elimu ya kubashiri kistaarabu pamoja na huduma zinazotolewa na kampuni hiyo. Waraghibishi wapya waliotambulishwa na Betway ni Priva Shayo (Privaldihno) na George Ambangile – wote wawili ni watangazaji na wachambuzi wa michezo.
Wadau waliohudhuria hafla hiyo walifurahia huduma mbalimbali za michezo na baadhi yao kujishindia zawadi za hadi TZS 100,000 kupitia mashindano mbalimbali ya michezo yaliyokuwa sehemu ya hafla hiyo. 
 
Kuhusu Betway Group
Betway ni sehemu ya Super Group: kampuni ya kimataifa ya kidijitali ambayo hutoa huduma ya daraja la kwanza ya kubashiri na bahati nasibu katika michezo..
Super Group (SGHC) Limited ni kampuni inayoongoza duniani katika biashara ya kubashiri michezo mtandaoni na bahati na nasibu: Betway, chapa kubwa ya kubashiri michezo mtandaoni na Kasino. Imeorodheshwa kwenye New York Stock Exchange (NYSE ticker: SGHC), kampunii imepewa leseni katika maeneo zaidi ya 20, ikiwa na nafasi za juu katika masoko makubwa kote Ulaya, Amerika na Afrika. 
Mafanikio ya kikundi katika kubashiri michezo na bahati nasibu za mtandaoni yanachagizwa na teknolojia nzuri ili kuiwezesha kuingia haraka na kwa ufanisi katika masoko mapya. Teknolojia yetu husaidia katika upembuzi yakinifu wa taarifa za masoko huiwezesha kutoa huduma za kipekee kwa wateja. Kwa maelezo zaidi, tembelea www.sghc.com 
Betway Group ni mtoa huduma anayeongoza kwa huduma nzuri na ya kibunifu katika kubashiri michezo, kasino na esports. Ilianzishwa mwaka wa 2006, na inafanya kazi katika idadi ya masoko ya mtandaoni yaliyodhibitiwa. Betway inajivunia kutoa huduma na bora kwa wateja wake inayochagizwa na mazingira rafiki, salama, haki na uwajibikaji.
 Betway ni mwanachama wa taasisi kadhaa katika tasnia, ikiwemo International Betting Integrity Association (IBIA), iGaming European Network (iGEN), Independent Betting Adjudication Service (IBAS), Sports Wagering Integrity Monitoring Association (SWIMA) na Betting na Gaming Council (BGC), na inatambuliwa kwa ISO 27001 kupitia wakala wa vipimo na viwango anayeaminika wa kimataifa eCOGRA. 
Betway Tanzania, inasimamiwa na Media Bay Limited imepewa Leseni na kusimamiwa na Wizara ya Fedha na Mipango, Bodi ya Michezo ya Kubahatisha ya Tanzania. 
Kwa taarifa zaidi kuhusu Betway, tembelea: www.betway.co.tz
Tags: BETWAY
ADVERTISEMENT
Previous Post

NBC INAKULETEA PRE-PARTY YENYE MA DJ’S WA KUAMSHAAMSHA NA BURUDANI NBC DODOMA MARATHON

Next Post

DKT. MAGEMBE APONGEZA WANANCHI KUTOA MAENEO YA KUJENGA VITUO VYA AFYA

ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

RelatedPosts

HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC

HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC

by ALFRED MTEWELE
February 7, 2023
0

Haji Manara aitolea uvivu Bodi ya Ligi kuu ya NBC Tanzania bara (TPLB) kuhusu takwimu za Golikipa wa Simba SC,...

Read more
NEYMAR ASHINDA SAMBA D’OR, BRAZIL

NEYMAR ASHINDA SAMBA D’OR, BRAZIL

February 7, 2023
Benki ya NMB Yakabidhi Tiketi kwa Viongozi 12 Kwenda Rwanda na Kurudi

NMB yafadhili ziara ya mafunzo Machinga, Bodaboda Dar nchini Rwanda

February 3, 2023
Kocha Robertinho: “Tunategemea Kupanga Kikosi Kamili”

Kocha Robertinho: “Tunategemea Kupanga Kikosi Kamili”

February 2, 2023
BRUNO GOMEZ, PLUIJM WAIBUKA BORA MWEZI JANUARI, LIGI KUU

BRUNO GOMEZ, PLUIJM WAIBUKA BORA MWEZI JANUARI, LIGI KUU

February 1, 2023
SPORTPESA YANG’AKA YANGA KUKIUKA MAKUBALIANO, KISA MDHAMINI MPYA CAF

SPORTPESA YANG’AKA YANGA KUKIUKA MAKUBALIANO, KISA MDHAMINI MPYA CAF

February 1, 2023
Load More
Next Post
DKT. MAGEMBE  APONGEZA WANANCHI KUTOA MAENEO YA KUJENGA VITUO VYA AFYA

DKT. MAGEMBE APONGEZA WANANCHI KUTOA MAENEO YA KUJENGA VITUO VYA AFYA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

February 6, 2023
Simba SC yaibuka Kinara Mechi ya Kwanza Dhidi ya Geita Gold FC Ligi Kuu ya NBC 2022/2023

Simba SC yaibuka Kinara Mechi ya Kwanza Dhidi ya Geita Gold FC Ligi Kuu ya NBC 2022/2023

August 18, 2022
SPORTPESA YANG’AKA YANGA KUKIUKA MAKUBALIANO, KISA MDHAMINI MPYA CAF

SPORTPESA YANG’AKA YANGA KUKIUKA MAKUBALIANO, KISA MDHAMINI MPYA CAF

February 1, 2023
Bilioni 213 za Miradi ya DMDP Zaistawisha Temeke

Bilioni 213 za Miradi ya DMDP Zaistawisha Temeke

February 2, 2023
HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC

HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC

February 7, 2023
DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”

DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”

February 7, 2023
TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

February 7, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumanne Februari 7,2023

February 7, 2023
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In