


Benki ya Taifa ya Biashara NBC Kupitia programu maalumu walioianda ili kusaidia kupunguza kasi ya mashambulizi ya Saratani ya Shingo ya Kizazi kwa kwa Wanawake haijasahau kukuunganishia huku NBC Dodoma Marathon | huku Burudani
, hivyo wanakueleza yakuwa;

“Hatuwezi kuwaacha watu wakimbie bila kuwapa burudani ya nguvu. Jumamosi, 30/07/2022 tutakuwa na Pre-Party pale Royal Village.
Stage itashambuliwa na wasanii wakali huku kwenye mashine 
Dj Angie, Dj Mousser na Dj Moshizo wakisimamia suala la ngoma kali”.


<img class="j1lvzwm4" role="presentation" src="data:;base64, ” width=”18″ height=”18″ />
1
Like
Comment
Share
0 Comments
Write a comment…
Press Enter to post.