Waziri mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa kwa niaba ya Serikali kuu ameeleza kuwa serikali ipo pamoja na watumishi wa hapa nchini kupitia maoni wanayotoa kuhusu suala zima la ongezeko la asilimia 23 za mishahara ya watumishi hao kwani imekuwa ni kama uanzilishi ili kuweza kuanza kuwaongezea mishahara kwanza watumishi wenye mishahara yenye asilimia za chini na baadae kuhakikisha kila mtumishi ataweza kujikimu vyema kwa kuzingatia pia bajeti ya uendeshaji nchi kiujumla.
UGENI KUTOKA NIGERIA WAWASILI NCHINI KUJIFUNZA MASUALA YA SERIKALI ZA MITAA TANZANIA
Naibu Mkuu wa Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI) Taaluma, Utafiti na Ushauri Dkt. Michael Msendekwa amesema dhumuni kubwa la...
Read more