Klabu ya Young Africans SC nchini Tanzania yafikisha wafuajiliaji (wafuasi) 2M katika akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Instagram hivyo bado wafuasi ili kuweza wafikia watani wao Simba SC ambayo kwa sasa inayo wafuasi 3.9M ikiwa muda nuchache wataweza sogea zaidi na kusomeka wafuasi 4M.
MESUT ÖZIL ATANGAZA KUSTAAFU SOKA
Nyota wa zamani wa Ujerumani, timu ya soka ya Real Madrid na Arsenal, Mesut Özil, ametangaza kustaafu soka la kulipwa....
Read more