Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Profesa Mohamed Janabi ameleza yakuwa “kwa ujumla wake ndani ya Miaka miwili CRDB Bank Marathon imeweza kusaidia uchangiaji wa gharama za matibabu wa watoto 200 wenye matatizo ya moyo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)
Tulianza kusaidiwa sisi mwaka wa kwanza,na sasa tutasaidiwa sisi na CCBRT muda si mrefu CRDB Bank Marathon itakwenda kusaidia maeneo mengi sana nchini”