Ikiwa Taifa la China linachukulia Taiwan kama moja ya jimbo lake ingawa limejitenga na linajitegemea lakini bado wanalipigania kwa hali na mali eneo hilo hivyo hawataki kabisa Spika Nancy Polesi wa Marekani kuweza kuzuru maana inaweza pelekea taifa hilo la China kutumia nguvu ili kusalia na eneo hilo katika hali ya usalama zaidi.
source: BBC Swahili