Kampuni ya KFC Fast Food ilioanzishwa nchini Marekani imeongeza miguu ya kuku kuwa menu mpya katika menu ya China hiyo ni kutokana na Wachina hupendelea aina ya chakula hicho pia kutikana na mfumuko wa bei ya mafuta na chakula imepelekea Kampuni hio kuona umuhimu wa kutumia vizuri viungo vyote vya kuku kwa kujumuisha miguu ya kuku ambayo awali ilikuwa haizingatiwi katika menu ya hapo awali.
MPYA: TigoPesa yazindua Kadi Mtandao (Tigo Pesa Mastercard)
Tigo Pesa kwa kushirikiana na Mastercard na Selcom wazindua rasmi kadi mtandao ili kuwezesha malipo/manunuzi mtandaoni. "Huduma hii ni muendelezo...
Read more