Klabu ya Simba SC imefanikiwa kutembelea nyumba ya wazee huko Kigamboni jijini Dar es Salaam na kuwapatia mahitaji muhimu yatakayowawezesha kujikimu hivyo, hali hio imewafanya wazee hao kufarijika na kujihisi bado wanakumbukwa katika jamii.

Msemaji mkuu wa Klabu ya Simba Ahmed Ally akabidhi zawadi kwa mwakilishi kutoka kituo cha mahabusu ya watoto kilichopo Upanga...
Read more