Ikiwa zimesalia siku 11 kufikia kufanyika kwa CRDB Marathon, Benki ya CRDB imetoa mchanganuo wa utoaji wa fedha taslimu ikwa ni zawadi ya pongezi kwa washiriki waliojisajiri kuhuhusika na Ushindani katika riadha zenye umbali kuanzia 10KM, 21KM na 42.2KM zitakazofanyika jijini Dar es Salaam. Agosti 14 Mwezi huu.
Nmb Yashiriki Kilele Cha Wiki Ya Sheria Dodoma
Benki ya NMB imeshiriki kilele cha wiki ya Sheria nchini iliyomalizika leo jijini Dodoma. Pichani, Meneja wa Kanda...
Read more