Benki ya Taifa ya Biashara NBC imeujuza umma ya kuwa kwa wakazi wa Singida LEO watakua Soko la Vitunguu, Msufuni, Madukani na Ginery KESHO watakua Mwakyungu, Ilongero, Mtinko, Mudida na KESHO KUTWA watakua Manyoni na Itigi kukufungulia akaunti ambapo utapata kadi yako papo hapo na uweke akiba ili uingie kwenye nafasi ya kwenda kushuhudia michuano ya fainali za Kombe la Dunia, Qatar.
Unachotakiwa kufanya ni kuwa na kitambulisho chako cha NIDA, Leseni ya udereva, au kitambulisho cha mpiga kura na kianzio cha kufungua akaunti ni shillingi 5000 tu.