Benki ya NMB imeeleza yakuwa bado ipo kwenye maonesho ya Nane Nane, na leo imemetembelewa na viongozi wa Lumbaki Saccos – Mbeya. Wataalamu wao wa kilimo wakiongozwa na Mkuu wa Idara ya Biashara ya Kilimo- Isaac Masusu wamewapa wadau wao elimu kuhusu;





Lengo lao ni kuwaongezea tija kwenye uzalishaji, uthibiti wa upotevu wa mazao na kupata masuluhu mbalimbali yanayopatikana kwenye benki yetu.