Mamlaka ya uthibiti wa Nishati na Maji nchini Tanzania EWURA imetoa viwango vya bei mpya ya kununua au kuuza mafuta ikianishwa kwa mfumo usio na bei ya ruzuku na wenye bei ya ruzuku ambapo bei katika aina zote za mafuta (petrol, diesel na mafuta ya taa) inaonesha zimepanda. Hali hii itapelekea gharama za kuendesha maisha kupanda pia hapa nchini kuanzia na sekta ya usafirishaji na sekta nyinginezo.
CHANZO: EWURA; Fuatilia kurasa za akaunti za mitandao Ewura Tanzania kupata nakala kuhusu maelezo ya viwango vipya vya bei ya mafuta nchini Tanzania.