Msanii maarufu wa muziki wa Kizazi kipya Harmonize (Rajabu Abdul Kahali) atakuwepo kutumbuiza katika tamasha la Singida Big Day lililoandaliwa na klabu ya Singida Big Stars FC linalofanyika uwanja wa LITI hii leo.
HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC
Haji Manara aitolea uvivu Bodi ya Ligi kuu ya NBC Tanzania bara (TPLB) kuhusu takwimu za Golikipa wa Simba SC,...
Read more